Silo Na Mchoro Mzuri

Silo anapewa zoezi la kuchora. Silo anataka kuchora mchoro wa kupendeza. Je, Silo atachora mchoro gani? Silo na Mchoro Mzuri ni hadithi ya nne katika msururu wa Silo.

Author: Edward Okello Mjomba

Silo anapewa zoezi la kuchora. Silo anataka kuchora mchoro wa kupendeza. Je, Silo atachora mchoro gani? Silo na Mchoro Mzuri ni hadithi ya nne katika msururu wa Silo.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Silo Na Mchoro Mzuri”

Your email address will not be published. Required fields are marked *