Silo na Mama wako dukani. Mama anachagua vyakula. Mama anagundua Silo hayuko. Silo ameenda wapi? Silo na Treni ni hadithi ya pili katika msururu wa Silo.
WhatsApp us