Ndege ya Silo inapaa na kuanguka kwa
jirani. Mbwa wa jirani wanacheza na ndege ya Silo. Silo anatamani kuipata ndege yake lakini anaogopa. Silo atafanya nini ili kuipata ndege yake?
Silo na Ndege ni hadithi ya Kwanza katika msururu wa Silo.
Silo na Mama wako dukani. Mama anachagua vyakula. Mama anagundua Silo hayuko. Silo
ameenda wapi?
Silo na Treni ni hadithi ya pili katika msururu wa Silo.